Our Archive 2019

Page 1 of 6


 • Usajili chuo cha uuguzi na ukunga sasa kwa alama za D tu 2019-07-17 01:15:05

  Sasa kwa alama za D masomo ya science kidato cha nne na sita unaweza kujiunga na diploma ya miaka 3 na kwa wale walioko makazini unaweza kujiunga (upgrading) diploma ya mwaka 1 chuo kinafunguliwa tarehe 5/10/2019 tuma maombi sasa kabla ya deadline ya kusajili kufungwa na NACTE mwezi wa tisa,usipo....

  More Details • Nafasi za kazi Idara ya Pharmacy 2019-03-07 23:33:22

  Idara ya Afya inawatangazia nafasi za kazi kwenye kitengo cha pharmacy muombaji awe na degree au diploma ya Pharmacy na awe na leseni ambayo iko active : 

  Namna ya kuomba: tuma maombi kupitia jobs@greenbirdinstitutions.org ambatanisha vyeti na Cv, mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 15....

  More DetailsPage 1 of 6
Archive

We Our Institution

We adhere to diversity and believe it’s a key part in student learning process. We host student regardless of sex, color, nationality, age, physical disability or ethnic origin.

LOGIN STAFF MAILS © 2017 GreenBird Educational Institutions, All Rights Reserved!