Usajili chuo cha uuguzi na ukunga sasa kwa alama za D tu

Sasa kwa alama za D masomo ya science kidato cha nne na sita unaweza kujiunga na diploma ya miaka 3 na kwa wale walioko makazini unaweza kujiunga (upgrading) diploma ya mwaka 1 chuo kinafunguliwa tarehe 5/10/2019 tuma maombi sasa kabla ya deadline ya kusajili kufungwa na NACTE mwezi wa tisa,usipoteze fursa hii ada zetu ni nafuu na zinalipwa kwa awamu tafadhali download joining instructions kwa maelezo zaidi.

Karibu

Imetolewa na mkuu wa chuo 

Chuo cha uuguzi na ukunga Greenbird

Archive

We Our Institution

We adhere to diversity and believe it’s a key part in student learning process. We host student regardless of sex, color, nationality, age, physical disability or ethnic origin.

LOGIN STAFF MAILS © 2017 GreenBird Educational Institutions, All Rights Reserved!