Nafasi za kazi Idara ya Pharmacy

Idara ya Afya inawatangazia nafasi za kazi kwenye kitengo cha pharmacy muombaji awe na degree au diploma ya Pharmacy na awe na leseni ambayo iko active : 

Namna ya kuomba: tuma maombi kupitia jobs@greenbirdinstitutions.org ambatanisha vyeti na Cv, mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 15/3/2019. 

Kwa maelezo zaidi unaweza kutupigia 0716696384

Imetolewa:

Green Bird College

Health science department

Archive

We Our Institution

We adhere to diversity and believe it’s a key part in student learning process. We host student regardless of sex, color, nationality, age, physical disability or ethnic origin.

LOGIN STAFF MAILS © 2017 GreenBird Educational Institutions, All Rights Reserved!