Green Bird Secondary Form one 2019

Nafasi za form one 2019 bado usaili unaendelea kila jumamosi kunakua na mitihani ya interview kwenye vituo vyetu vyote mikoa mbalimbali, unaweza pia kuingia kwenye website yetu na kujaza taarifa zako kupitia online registration na tuta process interview yako! Ada zetu ni nafuu na zinalipwa kwa awamu 4 kwa mwaka! Shule ina mazingira mazuri ya kusomea walimu hodari na wenye uzoefu wa kutosha

"you will never regret brushing shoulders with us"

Imetolewa na 

Mkuu wa shule Green Bird secondary

"sky is our limit" 

Archive

We Our Institution

We adhere to diversity and believe it’s a key part in student learning process. We host student regardless of sex, color, nationality, age, physical disability or ethnic origin.

LOGIN STAFF MAILS © 2017 GreenBird Educational Institutions, All Rights Reserved!