Mfumo wa kupata taarifa za shule(School management system)

Kwa wazazi wote na walezi na pia wadhamini tunawakumbusha kua sasa tunatumia mfumo wa shulesoft kupata taarifa zote za wanafunzi taarifa za kitaaluma, nidhamu, hali ya afya na ada ni rahisi kutumia ingia kwenye simu yako smartphone alafu kwenye internet browser weka greenbird.shulesoft.com utapata sehemu ya ku log in ambapo kwa wazazi wa sekondari tayari tumesha watumia taarifa hizo kama bado hujapokea tutatuma tena upande wa college na primary bado mfumo unaendelea kukusanya taarifa January 2018  itakua tayari kwa matumizi njia hii ni rahisi kwa mzazi kua na taarifa zote kwa wakati wowote upande wa sekondari tayari wako wazazi wanafurahia huduma hii kama bado hajijiunga fanya hivyo sasa! 

Imetolewa na idara ya mawasiliano na biashara 

Green Bird Education Institution

Archive

We Our Institution

We adhere to diversity and believe it’s a key part in student learning process. We host student regardless of sex, color, nationality, age, physical disability or ethnic origin.

LOGIN STAFF MAILS © 2017 GreenBird Educational Institutions, All Rights Reserved!