Pandemic Covid-19 viral infection
Tuendelee kuchukua tahadhari na kufuata maelekezo ya WHO na Wizara Afya kuhusiana na Covid-19 viral infection:
 
1.kuosha mikono mara kwa mara na sabuni au sanitizer angalau kwa sekunde 20
2.kuepuka mikusanyiko
3.kutokushikana mikono wakati wa salamu 
4.kutokugusa sehemu za uso.
5.Tukae ndani kuepuka safari ambazo si za lazima
 
Tunawatakia kila la kheri
Tujilinde na tuwalinde wapendwa wetu
 
Tunawapenda wote 
#covid_19
 
 
Imetolewa na Idara ya Mafunzo ya Afya
(Health and Allied Science)
Archive

We Our Institution

We adhere to diversity and believe it’s a key part in student learning process. We host student regardless of sex, color, nationality, age, physical disability or ethnic origin.

LOGIN STAFF MAILS © 2017 GreenBird Educational Institutions, All Rights Reserved!